Light Saber Imetosha Sasa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,632
- 8,320
Kuna jamaa hata simfahamu kaja hapa kaunta ananambia tule bia tu braza me demu wangu nmempigia kapokea mwanaume😂
Kuna jamaa hata simfahamu kaja hapa kaunta ananambia tule bia tu braza me demu wangu nmempigia kapokea mwanaume![]()
Natamka baraka za MUNGU kwa kila mmoja ndani ya mwaka 2020
Bwana awabarikie na kuwalinda,
Bwana awaangazie nuru za uso wake na kuwafadhili,
Bwana awainulie uso wake na kuwapa amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa hiyo umeauanza mwaka kwa kujipiga vitu???Kuna jamaa hata simfahamu kaja hapa kaunta ananambia tule bia tu braza me demu wangu nmempigia kapokea mwanaume😂
Nimeamka nimeshasahau...Hivi tunazungumzia nini eti jamani
Hii snap inanikumbusha animation ya Cars
Hahaha, yale majamaa mimacho ndiyo taaHii snap inanikumbusha animation ya Cars







Marahabaa!!
Heri ya mwaka mpya kipenzi, ukawe wenye baraka tele tele kwako![]()
Hahaha yeah!Hahaha, yale majamaa mimacho ndiyo taa
Umevuka mwaka dogo.Asante sana dada yangu kipenzi,, heri ya mwaka mpya na mafanikio kwako na ukawe wenye baraka tele kwako pia.. Nakupenda mnooooo
Sent using Jamii Forums mobile app



Kuna mtoto wangu hapa nyumbani alikuwa anaipenda sana CARS.Hahaha yeah!
Kamanda hongera sanaHeri ya mwaka mpya ndugu zangu wa hili jukwaa. Tusiumwe wala tusife, tuendelee tu kuishi coz death and sickness aaaagggrrr, hate those two things.
Asante kamanda, nawe hongera sana. Wanasema tumechaguliwa kuona mwaka mwingine.Kamanda hongera sana
Iko poa sana for kids....even adultsKuna mtoto wangu hapa nyumbani alikuwa anaipenda sana CARS.
OG G Wagon..