Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,777
Nawe pia nduguHeri ya mwaka mpya ndugu zangu wa hili jukwaa. Tusiumwe wala tusife, tuendelee tu kuishi coz death and sickness aaaagggrrr, hate those two things.
Nawe pia nduguHeri ya mwaka mpya ndugu zangu wa hili jukwaa. Tusiumwe wala tusife, tuendelee tu kuishi coz death and sickness aaaagggrrr, hate those two things.
Amen Amen🙏🙏Asante sana dada yangu kipenzi,, heri ya mwaka mpya na mafanikio kwako na ukawe wenye baraka tele kwako pia.. Nakupenda mnooooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Pampula alikuwa anaota.
Hii convoy heavy weight
Shangazi Happy New Year from anko Malcom and FamilyPampula alikuwa anaota.
Kabisa kamanda, Mungu mwema.Asante kamanda, nawe hongera sana. Wanasema tumechaguliwa kuona mwaka mwingine.
Sitaki anko.Shangazi Happy New Year from anko Malcom and Family

Karibu kwetuNapokea mialiko
Sitamani siku hii ya mwakampya ipite kama j5 nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio anko, bado nimekununia.Tenaaa ??
![]()
Jamani sasa anko anasafiri na ndugu jamaa na rafiki anapunguza stress likizo fupi hii.Ndio anko, bado nimekununia.
Akhsante Sana.Karibu kwetu
Kumbe iringa hapa...Ruaha National Park Iringa.
Baadae Mufindi Mgololo,.
Ndiyo sherehe ya mwaka mpya tunafanyia
Karibu sana mkuu
Mtutueeee!!!Hahahaha, these hoes ain’t loyal
All you need is love
Asante Sana.National Park naenda kuwachukua watu tu halafu tunarudi zetu Mgololo kusherehekea mwaka mpya.
Kesho tutakuwa BrookeBond kule karibu sanaaa.