Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,490
Ahsante kwa haya ma ujanja mkuuView attachment 1306194 umeiona hiyo JF yenye alama ya chrome kama ilivyo LinkedIn.... Ukishafungua kwenye chrome kuna sehemu mkono wa kulia huwa kuna opt nyingi nyingi za chrome moja wapo inasemaga add to home screen, ukisha add link itajisave kama hapo unavyoona so ukija kulog in baadae ni unaclick hapo tu
Karibu
Ya mvua 😎
Eeh halafu?
Naiomba pmNinafuta byeeee ndo whatsapp dp wasije waungwana wakaunganisha dots bure
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaahViatu vyangu auntie![]()
Na mie nimevipendaHahahaah
Njoo vichukuee
NiwaaacheeeLocation please...
Hahahahaah
Atakuwa kaamini!!
Kwahiyo kakuamini?
Malizia tuu jamanikuzimia hatozimia ila....
JamaniNa mie nimevipenda