Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,416
Hebu geuka basi mkuu
Hebu geuka basi mkuu
Hebu geuka basi mkuu
HahahahahahahahhahahaNinafuta byeeee ndo whatsapp dp wasije waungwana wakaunganisha dots bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazitengeneza kwenye ninīMkuu mimi natumia browser lakini pia nazitengeneza hizo picha kwanza halafu naenda kuzichkua from gallery
Haha ongea mkuu, nikuunganishe. Mi niko tied.
Hahahahahahahahhahaha
Watu na vitu vyenu
HahahaahahahahahahWatu na mawezere yetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wake wadogo wana makusudiiii, na vile mnajijua ndio wapya basi taabu tupu[emoji7][emoji7][emoji7]
Hiyo picha juu ya Uzi ni ya nani?
Leo nachatia kwenye app...ni kugumu mno doh
Sent using Jamii Forums mobile app
Viatu vyangu auntie[emoji12][emoji8][emoji8]
Kumbe huwa kelele tu ila ujanja hakuna[emoji134][emoji134][emoji134][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahahaahahahahahah
Muone vileeeee
We stuka tu ila nyumbani urudi shem love.
Nimuite?
Shetani ameshindwa. Ila ana nguvu. Nmerudi nyumbani salama shemloveWe stuka tu ila nyumbani urudi shem love.
Nascreen shot namtumia.