Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Nipo JF ila sitakuwa active kwenye huu uzi...
Hata hivyo umevuka matarajio yangu sana, sikutarajia kama ungedumu hivi
Nipo JF ila sitakuwa active kwenye huu uzi...
Salamu zako pia. Natumai wazima wote wikiendi hii ya mwisho ya 2010s.Nakusalimia..
Abee
Yaani huyu mke mwenzangu anajua kuniweka kiroho juu juu jamani🙆🙆

Mvua tu nahisi mixer baridi la hela yote
Unakumbuka siku ile ulimpaka mdogo wangu mafuta kwa mgongo wa chupa kuwa hayo mambo wewe walaaaaa🙆🙆🙆🙆
Unakumbuka siku ile ulimpaka mdogo wangu mafuta kwa mgongo wa chupa kuwa hayo mambo wewe walaaaaa![]()
JikazeYaani huyu mke mwenzangu anajua kuniweka kiroho juu juu jamani![]()
Unakumbuka siku ile ulimpaka mdogo wangu mafuta kwa mgongo wa chupa kuwa hayo mambo wewe walaaaaa![]()
Whatsapp 6 za nini mkuu..?
Mbona mnapata tabu sana? This is torturing.
Marahabaaaaa! Hamjambo?Mkwe shikamoo
Natuma screen shot kaka shemeji, ili aone vile unamdanganya.Nilisema kweli kabisa dada shemlove. Sema nini utume voice note bwana. Sauti yako yaupole yaani...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitafanyaje sasa na sina namna






kwahiyo ndiyo unahama kijiwe chetu pendwa??
Nipo JF ila sitakuwa active kwenye huu uzi...
Hapana mama J...
Nikiwa na baba yangu huku kijijini huwa naweka simu mbali..hapendi mambo ya simu.
Huwa nakaa nae ananipa stori za mkoloni na enzi hizo wana utajiri wa ng'ombe..




