Kwanini watu weusi hua tuna Consider zaidi umri kuliko vitu vingine vyovyote?
Unamjua mtu mmoja anaitwa Mozart?
Cha 4 tu kilinitosha mkuu..
😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona wewe ni mkubwa tu eti lakini,, basi baba tema mate tumchape Jael..
Sent using Jamii Forums mobile app
2014 ndio ulikuwa unaanza form one? Okay.Kuita ngoma old school au sio ni kutokana na mtazamo wa mtu..
Mimi naita ngoma za 2014 ni old kwakua ndio nilikua naanza form one so zanikumbusha mbali..
Watu tumeshtuka tu kuwa kumbe bado una muda mrefu wa kuishi mkuu 😆 wakati wengine tushaanza kukongoroka. Wala usiwaze boss.Kwanini watu weusi hua tuna Consider zaidi umri kuliko vitu vingine vyovyote?
Unamjua mtu mmoja anaitwa Mozart?
Hiyo tabata ya mto msimbazi ibakie kuitwa vingunguti tuu sio tabata. Hahaa kuichanganya na tabata ni kuikosea heshima tabata.
Kweli kabisaaa.Yeah Kinyerezi na Segerea,, hata Bima na Kisukuru pia naona kuna sehemu watu wameshusha mijengo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni Mimi wallahi[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]najichuna ngozi kabisaa za vidole
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivii si ulikuwa umeokoka mdogo wangu?
Hahaah..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mmhh itakuwa na wewe umeshusha mjengo kule maana siyo kwa kuunga mkono huko
Sent using Jamii Forums mobile app