Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,412
- 176,327
Kesho ilete nikushonee, nina cherehani kabisa hapa.njoo na sindano ushone
Hivi Dar express bado zipo?we mtoto leo nimeamini kweli hunipendi,, yaani event yenyewe kesho halafu unanimbia leo aliyekuambia mie nina hela ya kupanda bombardier nani.. ungeniambia mapema ningedandia dar express chap nikatimba huko fyade,, unazingua chalii..
ila we dawa yako january tu yaani mie hata siongei sana mbona
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo wadudu gani hawa?
Dogo wadudu gani hawa?

Haya.Ya kuwashia motooo
Sent from my iPhone using JamiiForums



haki ya nani mie sijawahi zielewa hizo pigo sijui kwanini,, sijawahi vaa hivyo na wala sidhani kama nitakuja kuvaa na uzee huu naanzaje kwa mfano..
Khaaaah!!



watoto wako na nani bwana we,, we mwenyewe mtoto..
Ndio uvaaji wa hawa watoto wetu siku hizi![]()
😀😀😀
Hivi Dar express bado zipo?
Sijambo...habari ya holidays?Hahaha...
Jambo wewe Mama J
umenikumbusha rafiki angu mmoja ye ana mtindo wa kusema vidole kama tangawizi





chanuuuDuh sijui miaka hiyo uliyokuwepo wewe palikuwaje ila kwa sasa ni pa kishua tu
Sent using Jamii Forums mobile app
