Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,555
Salamu za heri ya Christmas toka kwa Lee lianje "Jet lee" na wanawe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kafunga ndoa huyu manzi.. japo kashastafu toka 2016 na kafanya career yake kwa miaka miwili ila bado yupo kwenye peakMabaharia hamjasahaulikaView attachment 1303558
Ni nani huyo? Anadeal na nini hapa ulimwenguni?Kafunga ndoa huyu manzi.. japo kashastafu toka 2016 na kafanya career yake kwa miaka miwili ila bado yupo kwenye peak
Sent using Jamii Forums mobile app
Mia KhalifaNi nani huyo? Anadeal na nini hapa ulimwenguni?
Aisee nakuona wewe ni mpenzi wa movies sanaKafunga ndoa huyu manzi.. japo kashastafu toka 2016 na kafanya career yake kwa miaka miwili ila bado yupo kwenye peak
Sent using Jamii Forums mobile app
Me nyimbo nimeanza kuzijua nikiwa na akili wakwanza ni ule wa ferooz na prof J ...
Ningependa kuona yoteTo God be the glory.
A merry ChristmasView attachment 1303562View attachment 1303563
Sent using Jamii Forums mobile app
I'm a curious person by nature..Aisee nakuona wewe ni mpenzi wa movies sana
Mimi toka saa 9 nimeweka playlist ya nyimbo za old bongofleva mpka sasa nipo nasikiliza..zipo 1881
Hadi zote ziishe itanichukua masaa 143.
Mziki wa zamani ulikua mziki mtamu sana nimeona..D knob na Jeby nimewasikiliza sana leo
View attachment 1303548View attachment 1303549
Sent using Jamii Forums mobile app
Thnx thoughKaribu tusikilize wote.. maana nyimbo ni nyingi mno hata zingine nilikua sizijui
Me too
Wahindi ugonjwa wangu mkubwaMe too
Muvi & muziki = Everlasting Happiness
Philosophical muvi za kihindi kama za Amil khan and alike so hua nazipenda. Pia Love story zao zimetulia sema hua sizijui majina



hiyo kauli ilibidi mie ndiyo nikuambie wewe eti,, umeninyima nini sikukuu hii??
Acha uchoyo jamani uende mbinguni mdogo wangu