NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,744
- 49,623
Mkuu ahh sio mchezo nimeona vitu sijavielewa kabisa zaidi ya chupa mkuu
[emoji23] Noma sana , kuna cauliflower, Majani ya vitunguu machanga ya njano yale, Kuna tango na sikio la mdudu [emoji23]mchanganyiko hatari pia kuna lotus, Hiyo chupa bora hujaona Alcohol ngapi, ni 56!
Sent from my iPhone using JamiiForums