Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486



hiyo picha imenigomea kufunguka naomba nitumie kule


leo kanisani nimeenda na nimetoa neno na ushuhuda
Sent using Jamii Forums mobile app



hiyo picha imenigomea kufunguka naomba nitumie kule


leo kanisani nimeenda na nimetoa neno na ushuhuda
Naona anakuja huyo anakuuliza eneo la tukio umefika wapi. Hongera mwamba. Jumapili yako itakua njema sana




Biblia umeenda nayo church na hujaisoma hakika hahaha
Hebu huko!!!Nataka nipost picha; umejiandaa kutoka JF?
Ashukuriwe Mungu.Shingo mamiii imejua kujishepu vizuri
For future refference au



Daah mimi Liverpool naipenda sana ndiyo maana hata nilifurahi wao walivyochukua uefa ila wewe ndiyo unanifanya niichukie muone kule hama hiyo timu hebu
Sent using Jamii Forums mobile app
zhong cai
, liangban oupian , huanggua ban zhu er
haochi jile.Hujambo?
Hii ni dawa ya nini

sipati picha na rangi yake Ulivyowaza.Ujue bado nina birthday vibes hadi mwaka mpya; sasa nina vibe ya kupost; nipost nisipost?
Hebu huko!!!
Mkuu ahh sio mchezo nimeona vitu sijavielewa kabisa zaidi ya chupa mkuuUmenichekesha sanasipati picha na rangi yake Ulivyowaza.
Sent from my iPhone using JamiiForums