Ni kwamba unakula kiporo au macho yangu
Hamujambo humu ndani?
Usiku mwema.
Na wewe mkwe ushaanza kufichwa kama Karma
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daaah!! Si ni jana tu jamani[emoji134]
Shee tunatakiwa kulala mapema ili tuamke mapema, kwa afya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nafichwa na wanangu dear.
Daaah!! Si ni jana tu jamani[emoji134]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jana tu?? We unaona masaa 20 ni madogo?? Unajua kabisa we ukipotea hata masaa 2 tu mi naumwa [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25] sembuse masaa 20 yote hayo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh!! Hawa orijinale. Wale wengine nitakutana nao January shule zikifunguliwa.
Hapana mama, tulifanya ibada kisha tukatembelea wagonjwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We mwenyewe ulipotea, ndio maana nami nikapotea.
Oooh!! Hawa orijinale. Wale wengine nitakutana nao January shule zikifunguliwa.
Hapana mama, tulifanya ibada kisha tukatembelea wagonjwa.