Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,201
😍😍😍Natural all day,everyday
Eti Hawachi ile offer ya buku buku kwa kila mwana JF kama nikiweka picha bado ipo?
View attachment 1298079
😍😍😍Natural all day,everyday
Eti Hawachi ile offer ya buku buku kwa kila mwana JF kama nikiweka picha bado ipo?
View attachment 1298079






Mkuu umekwishatoka kilingeni!? Waroge wadada waongeze juhudi ya kutuma picha

Namba yako dear
Fasta nakusubiri dear😊
Fanya kweli,sio unapga biti kama yule mpemba wa badoo katuma nauli ghafla simu ya mtoto wa kike haipatkanMmh... Mwizi mlokole... Mimi wataisoma number
Pale mpemba alipopigwa pesa ndefu na simu ikazimwa![]()
Fanya ulale usiku tunakazi na ww
Una hyperlapse tuleo ni wikiendi na hali ya hewa ya dar es salaam ni ya unyevunyevu na mvua za hapa na pale.
kwa sasa nipo hapa mlimani city mall nimekuja kufanya manunuzi kidogo.
natoa lesson ndogo.
kama mda huu upo mlimani city jirani na tawi la crdb bank au jirani na danube home, halafu ukapishana na mkaka maji ya kunde,mrefu kiasi, kavaa tshirt nyeupe(haina maandishi yoyote), kaptula nyeusi ya kaki na miguuni kavaa adissage slide sandals, basi jua ni mimi.
nipige picha kwa kuibia halafu itume hapa. nitakupa zawadi. fanya haraka kabla sijandoka eneo hili.View attachment 1299187
hapana, hiyo sio hyperlapse, ni video tu ya kawaida ambayo nimei convert katika mfumo wa GIF.Una hyperlapse tu