Selfika na JF: Snap it. Show it

We Hawachi si umeitwa mbona umejikausha?? Siku nyingine ukiitwa mbona huwa unakuja mbio leo vipi!! nasubiri vocha yangu ya buku,, TTCL hapa na ukizidi kuchelewa inaongezeka inakuwa ya buku mbili..

Ila daah hadi mie nimeshituka joanah kuweka picha mwee hatimaye,, hakika huo ni mwanzo mzuri sana..
Natural all day,everyday




Eti Hawachi ile offer ya buku buku kwa kila mwana JF kama nikiweka picha bado ipo?



View attachment 1298079

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshangaa na mimi kutomuona hapa mpaka muda huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…