Selfika na JF: Snap it. Show it

Atatoa yeye siyo mimi,, halafu mwishoni atamalizia hivi "asante wewe dada wa JF uliyenipa naniliu"..


Halafu unajua mie ule uzi siufuatilii kabisa eti?? Ila kila nikichungulia nakuta watu wameshusha magazeti naondoka!! Nabaki najiuliza yale magazeti yote ni ya kuwala watu kimasihara tu au kuna vingine mule ndani
Kwani wanawake mnatoa ushuhuda?? Au kwa ID za kiume?? Maana ule uzi unaongoza kwa ID mpya. Mimi tu ndio sipo kule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Relax mkuu.nothing is serious.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaahahahaahahah. Una mambo sana wewe.

Ndio maana hujanipigia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…