Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Wewe nakufuata muheza..
Ukipata mbili Unikumbuke na mie
Ukipata mbili Unikumbuke na mie
Hahahahaha...ila ile sura before hii ndiyo MimiHahah...sisi wapenzi watazamaji ndio wenye kujua hesabu
Mabonge huwa wana upendo sana, i love you so much!
HahahahahaMabonge huwa wana upendo sana, i love you so much!




Ya two, go get a room...


Naomba msaada wenu wakuu. Nakua napata notification muda wote wa nyuzi nilizowahi fungua. Nifanyeje
Ushauri wako mbaya mbona mkuu.
Natumia web. Inajisabskraibu yenyewe bahati mbaya sio mzoefu wa huu mtandao kabisa. Nishashindwa kuondoa hili
Natumia web. Inajisabskraibu yenyewe bahati mbaya sio mzoefu wa huu mtandao kabisa. Nishashindwa kuondoa hili