Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,485
Naona uzi wa selfie wa Karma uko na comments 14
Unajishtukia nini eti jamaniLol NaddySL alisema itakuwa mods wameona mimi ndiyo nacomment sana humu kwahiyo wameamua kunizawadia uzi mzima,, na kusema ukweli hapo kwenye point ya kucomment sana humu aliongea ukweli kabisa yaani hadi nikajishitukia..
Sent using Jamii Forums mobile app



ziwa ngozi liko rungwe hilo tumewaachia wa rungwe wahangaike nalo,, sie wa kyela tunahangaika na ziwa nyasa..
Hahaha uko vizuri! Hapo ni nyasa tu bado haujapelekwa kule ziwa ngozi.
unatuchezea wewe katoto, wakati ww ndio umeuanzisha.![]()
Lile daraja lenye mauza uza nalo huwa lipo kyelaziwa ngozi liko rungwe hilo tumewaachia wa rungwe wahangaike nalo,, sie wa kyela tunahangaika na ziwa nyasa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Dont drink what?
Nawewe weka yakwako
Nakazia