Wakuu mwenye mawasiliano ya National geographic View attachment 1297196
Sent using Jamii Forums mobile app
Jioni njema View attachment 1297322
Mkuu wewe ndiye huyo uliejimwambafy hapo pembeni?
Kaka baada ya kutoka chuo nadhani nilimaliza na shahada tatu,
Moja ni ile ya chuo, ya pili uchef na ya tatu naiweka kapuni...
[emoji28][emoji28][emoji28] Mshana bwanaNina ugonjwa na vidole virefu vya kike uuuuuwiiiiii[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]navidanlodi kwa matumizi [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Jr[emoji769]
Iweke tu kapuni bro. Maisha haya, kuna mmoja alikuwa mfadhili wangu juzi kanitafuta nimtoe laki. Nkakumbuka alivyonifadhili, bila hiyana nkafanya muamala mkuu.Kaka baada ya kutoka chuo nadhani nilimaliza na shahada tatu,
Moja ni ile ya chuo, ya pili uchef na ya tatu naiweka kapuni...
Kulikoni?Taratibuni jamani.
Doh!
Nakutakia jioni njema
Kaka baada ya kutoka chuo nadhani nilimaliza na shahada tatu,
Moja ni ile ya chuo, ya pili uchef na ya tatu naiweka kapuni...