Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Umekukumbusha nini shemeji.
Sent using my 6x6 bed.
Abeee Shem!!
Huo mwandiko umenikumbusha mbali saaana
Sent using my 6x6 bed.
Abeee Shem!!
Huo mwandiko umenikumbusha mbali saaana
Tuma nauli haraka.Njoo unichukue mkwe...
Bora uwakumbushe.Nyie viumbe wa Mungu....
.
.
Chat na picha
Hata nikisema nakupenda haitasaidia kitu!!!
We mkaka niwache.
Makopa mie ya nini!!!

mmoja tu...ila kala mahari zanguUna wakwe wangapi mkuu
Asiombe msamaha, mwanaume hasemi samahani![]()








Kuna mtu alikuwa ananiandikia ako na handwriting kama yako!Umekukumbusha nini shemeji.
Sent using my 6x6 bed.
Imeteguka sio
mmoja tu...ila kala mahari zangu




Amekula au kamlipia mume wake mahari, watoto wa siku hizi ni wa 4G