Kazi gani?
TISS au kusambaza ngoma?
VodaShop ni ofisi ndogo ya Voda, mostly huwa ni waajiriwa wa Voda...
Customer care ni subcon tu wale, hawana uchungu na kampuni wala wateja...
Nyau weeeOooh! Senkiyu nunda.
Tunapambana nao hivyo hivyo; me walinisaidia kwa bi mkubwa. Alisajili new line afu akasahau password ya m-pesaCustomer care za Bongo huwa hawapo serious sana...
Haina shida hiyo hela mtumie humu kwangu; ataikuta akijaPole...
Basi ngoja zoezi la kutumia mkwe nauli ya xmas kuja mjini lisite kwa muda, hela isijeliwa na Voda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakimzingua itabidi asubiri hadi siku akija mujiniOkay, haya Jael hebu pambana na customer care vile upo madongo kuinama
Wewe mchuchu bwana, maswahibu yako siyo kama yetu sisi wanaume [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti enh?? siwezi elewa wakati hata mie nimeshakutana na hivyo vituko kule pm??
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya sawa...Vyote kwa pamoja,, wengine ni kutaka kufahamu watu ili wawachomolee betri tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah...tufanye kama nimeahirisha hiviHaina shida hiyo hela mtumie humu kwangu; ataikuta akija
@Jael ona mambo ya mkweoHahah...tufanye kama nimeahirisha hivi
Oh! Can't wait to see you baba J 😘😘
Yaani mkuu nasubiri unifanyie check up then uko busy unapost huku..[emoji35][emoji35]
Kafanyaje?@Jael ona mambo ya mkweo
Mkwe utoke tu huko kwa waswahili, wananiharibia mkwe haki tena[emoji134][emoji134]Pole...
Basi ngoja zoezi la kutumia mkwe nauli ya xmas kuja mjini lisite kwa muda, hela isijeliwa na Voda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkwe kumbe unajua, sasa ulikuwa unashangaa nini?Hapana mkwe ngoja niwape za uso kwa huwa mnazingua sana huku jukwaani, piga sana vijembe...
Halafu mara paaap tunakutana na nyuziii za wavulana wanajisifia, sababu tu jukwaani huku mbele mnakuwa wakali kila mdada ni St.Theresa...
Sasa mkipatwa na wavulana huko wanajiona kama wamefaulu mtihani wa kuingia Cambridge au Yale, wanaishia kuja kupiga vifua vyao huku mbele na nyuzi zao sijui za kimasihara etc...
Anyway ngoja niachane nayo mkwe, huwa hayanihusu sana