Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwetu hakuna cha first born wala last born! Tumechezea kucha balaa!!
Bora mie last born nilidekezwa na wote[emoji85][emoji85]
Japo mwanzo mama alinipa vichapo vya hapa na pale maana nilikuwa mtundu mimi jamani[emoji134][emoji134][emoji134]

Ila pacha wangu( baba) hakuwahi hata kunifinya. Mkinipiga asubuhi nasubiri jioni akiwa anarudi naanza kulia upyaaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenyewe last born, ila sijawahi kudeka mimi jamani!!
Unamdekea nani eti jamani!
 
Nilishawahi kumfungulia mtu account, lakini ghafla kuna kitoto kimoja kesho kikanza kumchombeza PM. Eeh nilichoka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo mbona kawaida sana, sijui kuna watu huwa wako stand by kwaajili ya id mpya[emoji134][emoji134][emoji134]

Karoho kakakuumaaa[emoji85][emoji85][emoji85]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo mbona kawaida sana, sijui kuna watu huwa wako stand by kwaajili ya id mpya[emoji134][emoji134][emoji134]

Karoho kakakuumaaa[emoji85][emoji85][emoji85]
Hahaha, [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sema mgeni alihisi ndiyo michezo yangu.
Kale kabwana mdoto huwaga nakaangaliaga tu [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…