MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,703
- 71,039
Hujambo jamani,....Ndio blaza, hi[emoji113]
Hujambo jamani,....Ndio blaza, hi[emoji113]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nakuelewa vizuri sana jamani, unaweza fanya jambo ukaona umemfurahisha mzazi, akakuita vizuri mbele za watu unaenda huna hili wala lile weeeee hicho kifinyo sio cha kawaida!!
Yaaani wewe ndo mekuwazia mamangu kabisaa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikasema mimi mshamba sielewi jamani
😄😄😄😄😄Huyo na mama yangu kabisa ndo zake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nakuelewa vizuri sana jamani, unaweza fanya jambo ukaona umemfurahisha mzazi, akakuita vizuri mbele za watu unaenda huna hili wala lile weeeee hicho kifinyo sio cha kawaida!!
Yaaani wewe ndo mekuwazia mamangu kabisaa!
Sijambo, shikamoo!Hujambo jamani,....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe na Heaven Sent
Hahaha,.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukihara utushirikishe kaka.
AimennnMuhimu ni kwamba kimelika tu.
Tena wa Kyela[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji119][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] labda Heaven Sent ila mie hapana umenionea
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Huyo na mama yangu kabisa ndo zake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo mekuachia wewe na Heaven Sent
Hahahaaha aisee sijawahi kupost bangi napostigi dawa iliyothibitishwa viwango na madaktari konki.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo ugali umekaa kama zile bangi anazopostigi blackcornshman [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ni ugali eeehh
Au nimekosea kwamba wewe siyo mchuchu ??? Usije ukawa linjemba moja hivi.[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787] daah mkuu,, basi sawa..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kifinyo kingekuhusu vizuri tu.
Tena wa Kyela[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuwa ana kucha zake mbili hizo yaani zinachana kama wembe kwenye mapaja 😄😄😄umenikumbusha mbali dear[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Malezi ya zamani bana, yalituweka kwenye mstari mmoja!
Nakazia kapelekwe milembe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aki wewe ni Chizi