Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Inawezekana mkuu huyu jamaa alikuwa yeye ndio anafanya kaz za kuwaandikia walim ubaon..mara kujaza form zao ma manz walikuwa wanampenda saqn.
Hahahah...yaani mwandiko tu ndio upate mchuchu? au jamaa alikuwa na mbwembwe za ziada kuchora makopa yenye kuchomwa na mikuki/mishale...

By the way hata huwa sina mwandiko mmoja...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha hivi unajua mimi personality yangu inategemea na mtu unayemuuliza,, kuna watu ukiwauliza mimi nikoje watakuambia mimi mpole na kuna wengine watakuambia mimi cha mlomo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nimekuwazia ukiwa mpole picha limegoma kabisa[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom