Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji85][emoji85] kabisa,, mwalimu wangu wa hesabu a level ndiyo kabisa hakuwahi kuliona daftari langu hadi tunamaliza shule halafu alikuwaga mpole masikini hata kuchapa hajawahi..

Siku hiyo anarudisha madaftari darasa limetulia kimya ghafla akaniuliza "halafu E daftari lako liko wapi mbona sijawahi kuliona tangu nianze kuwafundisha" darasa zima lilicheka [emoji2296][emoji2296] yaani aliongea kwa masikitiko hadi nilimuonea huruma jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe eeehhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji85][emoji85] kabisa,, mwalimu wangu wa hesabu a level ndiyo kabisa hakuwahi kuliona daftari langu hadi tunamaliza shule halafu alikuwaga mpole masikini hata kuchapa hajawahi..

Siku hiyo anarudisha madaftari darasa limetulia kimya ghafla akaniuliza "halafu E daftari lako liko wapi mbona sijawahi kuliona tangu nianze kuwafundisha" darasa zima lilicheka [emoji2296][emoji2296] yaani aliongea kwa masikitiko hadi nilimuonea huruma jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora hata umemaliza
 
Back
Top Bottom