Kifupi mdogo wangu kwa Sasa ujipange maana kwenye comment tukibishana nilikuwa naogopa najua pengine ni jibaba ila kwa sasa nakuchana live kumbe una sura soft hivyo😄😄😄
Nakutosaje jamani Kekundu, we namie ni kama sahani na kijiko daima pamoja .Ila hako ka Safari ndogo kenyewe tu ni shida! Balimi usiguse huko bia za ki hardcore sana..Waachie wamama wa shoka!