Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Picha tafadhaliShee niko mahali naitendea haki ile ya mada ya tunda....
Jr![]()
Picha tafadhaliShee niko mahali naitendea haki ile ya mada ya tunda....
Jr![]()
Azama ukwaju juice ahsante, yani ameamua saaa kila kitu atengeze bado vitumbua tu
Anza kumwaga sera itetee ilani yako, huenda akamuacha samweli boda bodaKuna demu tupo naye hapa bank mzuri mbaya yupo mbele yangu anachart na samwel boda boda yaaani roho inaniuma mbaya..
C & P
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwa hajazaliwa bado.
Mamdogo Hawachi anatufanyiaje, natamani ningekua mods ningempa banSijui aki,, kila siku yeye jibu lake ni hilo hilo tu "angalia comments za leo nimeweka picha".. mie naenda na huu uzi sambamba ila sijawahi kuona hizo picha anazosema kaweka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mke wangu nitamvalisha hii ili nione kuna ladha gani
Hahahahahaha
Mpaka leo hujamvalisha tuuMke wangu nitamvalisha hii ili nione kuna ladha gani
Nakaushaje hivi hivi sasa, hebu nishawishi sheeKausha..
Jr![]()

Umenikumbusha utotoni..........View attachment 1294162
