Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,346
- 17,669
Duh nawakumbuka mkuu.chukuEnzi hiyo pale nyuma kati alikuwepo Popescu, Petrescu akicheza shavu la kushoto
Chivu kaanza kutumikia Euro2000 akiwa Ajax
Duh nawakumbuka mkuu.chukuEnzi hiyo pale nyuma kati alikuwepo Popescu, Petrescu akicheza shavu la kushoto
Chivu kaanza kutumikia Euro2000 akiwa Ajax
We can still plan...muda ndio sasa wa kupanga na kuamua...halafu tiketi unanunua hata miezi 6 kabla.
Nishawahi tazama games za Olympic nikiwa uwanjani, best experience ever (sitataja nchi)
Hahaha nimeikosa hiyoAngalia comments za Leo nimeweka picha
If this was a movie, that'd be Leo, Al Pacino, Clooney, Denzel, Jack Nicholson, Michael Madsen, De Niro, and Joe Pesci. Only one club could assemble that.
View attachment 1294028
Wakwanza ni?Katika pitapita zangu maeneo ya google leo nimekutana na hii
Cc Watu8 cheki watu na nyadhifa zaoView attachment 1293974
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni Guti, pembeni ya Roberto...?
Hiki kikosi kilikuwa hatari sana...ila kuna game moja hii sitakuja sahau Real vs Galatasaray, UCL hiyo...Madrid anakufa 3-2, Carlos nahisi hatakuja msahau Hassan Sas
Mamdogo ana nini lakini
Aisee me niko ulimwengu mwingine.. Huyo ata simjui.. Nilidhani Antonio nugaz



Shilingi ngapi iyo
Inategemea unanunua wapi na lini.Shilingi ngapi iyo