Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,299
- 108,329
Hii kitambo tulikuwa tunaweka kwenye chupa ya soda, halafu unaziponda humo kupata mchuzi/juisi yake.............View attachment 1294162
Hii kitambo tulikuwa tunaweka kwenye chupa ya soda, halafu unaziponda humo kupata mchuzi/juisi yake.............View attachment 1294162
Mlikuwa mnaziitaje?Umenikumbusha utotoni![]()
Mliziitaje?Hii kitambo tulikuwa tunaweka kwenye chupa ya soda, halafu unaziponda humo kupata mchuzi/juisi yake...
hahah...jina la kijinga mzee..."matakooo ya bibi"Mliziitaje?
Chizaziiiihahah...jina la kijinga mzee..."matakooo ya bibi"
sijui hata ilikuaje jina hiyo ikawa famous
hahah...jina la kijinga mzee..."matakooo ya bibi"
sijui hata ilikuaje jina hiyo ikawa famous

duh! We ulikulia mkoa gani?Kabila gani mnayaita hiviChizaziiii
?Hiyo ni Mbeya...ingawaje wasafwa walikuwa wanayaita mang'ang'a...duh! We ulikulia mkoa gani?
WeloKabila gani mnayaita hivi?
Duh haya naona hayana jina la kiswahili kamili.. Naona kila kabila jina linatofautiana sanaHiyo ni Mbeya...ingawaje wasafwa walikuwa wanayaita mang'ang'a...
Karma anaweza nishahihisha au Heaven Sent
Duh Tanzania kuna makabila mengi.. Aya asanteWelo
Unakwama wapi dogo!?!what?? Heaven Sent alituma picha??
Chamdeko ndano ya nyumbi...
Jr![]()
My sis amesema ni mang'ang'aHiyo ni Mbeya...ingawaje wasafwa walikuwa wanayaita mang'ang'a...
Karma anaweza nishahihisha au Heaven Sent