Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilikuwag namfananisha lamomy na Demis sanaaaaa ila kumbe watu tofauti..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Noumaa sanaaa!!
 
Mimi binafsi yangu sijawahi zalilisha kiumbe chochote humu ndani.

Ila kinachowaponza ke wengi humu ni ulimbukeni wa mahusiano; hapa chino nisiwe mnafiki;

Na me wengi humu ndani ni washamba wa_ k_!! Akikula lazima aje ajimwambafy;
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ chino unapigaje leo kwani? Awwww, mambo nayoyapenda hayaa.
 
Nasikia kuna member humu umempa ujauzito..
 
We mwenyewe unajua ukiliwa faili lako fasta anatumiwa shoga Ako lamomy na 100likes ni kukaa kiturist tu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Chino kwani unanichukuliaje mie? Si wangeshavujisha kitamboooo.

Nasemaje ubuyu wangu humu nitawaletea mwenyewe.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio nilikua nasema huko juu humu ukiliwa acha sifa kaa kwa kutulia tu maana watu wa jf vichwa vyao wanavijua waol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…