Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,715
- 11,860
Nibless nilale sasa🤗🤗🤗🤗Nyoooh!! Naijua hiyo 😹😹
Nibless nilale sasa🤗🤗🤗🤗Nyoooh!! Naijua hiyo 😹😹
Kwisha hayo hapo na macho ya mapenz kabisa haya
Siendani naye kwa lolote, kwanza namtamani arudi nimfanyie cross-examination..!! 😹Kwanini nilikuwaga nakufananisha na Demi🤔zamani
Si umchukue spider mkalale wote akusaidie kupata usingizi 😹😹Nibless nilale sasa🤗🤗🤗🤗
duuuh🔥🔥🔥 Mkaka mzuri afu mpole mwenyewe..!!
Upo Kama Paroko wa parokia yetu 😍
Una weusi wa kuteleza kama jongoo 🔥🔥
Hapo unasikiliza wimbo wa “Mimina ziteremshe tuzipokee Bwana”
Duh usiwe ivyo na ww headgirl unatubania uhuru sasa humuSiendani naye kwa lolote, kwanza namtamani arudi nimfanyie cross-examination..!! 😹
Natamani kuifufua kesi yake, inaonekana alikuwa machachari sana humu jukwaani..!! 😹😹
Nataka nijue aliweza kumpenda vipi ankali wangu mshana na uchawi wake?
Ujue wakongwe kuna vitu navitaka sana kwao..!!
Siku moja demiss ajizime data arudi, mashabiki zake wanamuhitaji na akirudi mi naunga naye urafiki..!! 😹
spidernyoka naomba photo nilale 🔥🔥🔥😹🥳🥳🥳🌸Si umchukue spider mkalale wote akusaidie kupata usingizi 😹😹
Nyimbo za kufa kufa hizo unasikiza za nini?? 😡
Yani mi nawapenda woteeee ni vile hamjui 😹😹Duh usiwe ivyo na ww headgirl unatubania uhuru sasa humu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila🔥🔥🔥 Mkaka mzuri afu mpole mwenyewe..!!
Upo Kama Paroko wa parokia yetu 😍
Una weusi wa kuteleza kama jongoo 🔥🔥
Hapo unasikiliza wimbo wa “Mimina ziteremshe tuzipokee Bwana”
hizi ni tenzi za rohoni sio nyimbo za maombolezo, hata hivyo ni mwezi wa kuwaombea walio tangulia haswa siku ya leo ya marehemu wote.Nyimbo za kufa kufa hizo unasikiza za nini?? 😡
Aya pita ukalale rookieMimi nimetosheka❤🥳🔥🔥🔥🌸
😹😹me sio mkongwe labda ww na lamomy
Hapana wewe joined 2009 hii ya 2023 umetupanga 😹😹Mimi nimetosheka❤🥳🔥🔥🔥🌸
😹😹me sio mkongwe labda ww na lamomy
100/10 I rate you🔥🔥🔥🔥🔥🔥🌸
Descendants wa bibi Huko shuleni mmeenda kusomea ujingaHapana wewe joined 2009 hii ya 2023 umetupanga 😹😹
Wewe balo la kina bibi Kasie 😹
Bibi Fai Foxy 😹😹Descendants wa bibi Huko shuleni mmeenda kusomea ujinga
😹😹😹kwahioo mimi nimezeeka kumbeHapana wewe joined 2009 hii ya 2023 umetupanga 😹😹
Wewe balo la kina bibi Kasie 😹
Acha nipekueAya pita ukalale rookie
Gen z weee mbichi kabisa kwanza hata msamba hauwez kupiga😹😹😹kwahioo mimi nimezeeka kumbe