Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,908
- 16,907
Nilikumisi sana swahiba
Nilikumisi sana swahiba
Ndiooooo sitaki heka heka bana 😞😹😹 wa kimoja chali?
Aloooooo pesa na iheshimiwe na watu wote mimi sio wa kusinzia kama teja kisa kuzisaka faranga au nioelewe tu 🤣Nilikua kusaka makuta 😹
Nani mwingine jamani mwenye ngebe na trauma na watoto wa kike JF 🤣Mzigo unao mwali wangu anayebisha ana wivu na wewe..!! 😍
Mwajuma nichokonoe yupi huyo anayeanzisha uzi?
Niliona jujuu hata sijui huo ushuzi ulipo 🤣Em nitag kwanza 😹
Mie nanunua ushanga wa kiuno wa zahabu na kikuku😹😹😹 kijora najitolea kumpa bure tusutane naye..!!
Wanaume ninaovutiwa nao ni kama hawa mwanaume hana upuuziLi Kiranga, ni lidude likuuuuubwaaa JF halinaga drama..!! 😍🔥🔥
Lenyewe ni kugonga facts tupu, hao low minded kawaacha mbali sana..!! 😹
Kwanini siku.hizi umekuwa muoga muoga sio kama zamani😹ulikuwa unapit naked!!!Naijua hii
Nipo machoo😍mida ndo hii sasam cute umelala?
😹😹😹we nipe zawadi achana na MandulaMandula hajambo? 😹
Kakuletea zawadi gani mpya?
Harusi tunayo hatunaaaaaa😹😹we chagua umri utakuta umekuacha😹😹😹 Chivundu nafurahishwa na pirika zako za kunisifia, hakika safari hii nitapata mume JF.
🤣🤣🤣🤣ingekuwa ww ungekubali?We bana tulia hapo, shem anaonekana mambo safi uhakika wa kulala upo ana mjengo mkali..!! 😹😹
Sasa mng’ang’anie Mr mandula uishie kuitwa mpangaji na wakati mjengo wa bure upo..!!
Zamani ipi malle?Kwanini siku.hizi umekuwa muoga muoga sio kama zamani😹ulikuwa unapit naked!!!
😹😹juzi juzi basi em nirudilie ile ya suti 😹iwe naked basi🔥Zamani ipi malle?
Ili kinilambe😹😹juzi juzi basi em nirudilie ile ya suti 😹iwe naked basi🔥
Kutoboka hiyo ipo tu 😀😀😀😹😹kwanini hana uhakika kuwa unaweza kutoboka vizuri
Kumbe chatungi 😹😹😹Ndiooooo sitaki heka heka bana 😞
Aloooooo pesa na iheshimiwe na watu wote mimi sio wa kusinzia kama teja kisa kuzisaka faranga au nioelewe tu 🤣
Nani mwingine jamani mwenye ngebe na trauma na watoto wa kike JF 🤣
Niliona jujuu hata sijui huo ushuzi ulipo 🤣
Mie nanunua ushanga wa kiuno wa zahabu na kikuku
Wanaume ninaovutiwa nao ni kama hawa mwanaume hana upuuzi
Mtu amenyooka ukisoma una Yes Yes Yes like unasikilizia 😍🤌
Halafu ujue hizi issue sipendagi napenda zangu mambo ya hoja ila ndio hivyo adui ninae muweza saivi simuachii Mungu shenziiii
Zawadi Mtoto halali na hela anataka kukubless unampotozea unajifanya kama huoni bidii zake..!! 😹😹😹😹😹we nipe zawadi achana na Mandula
Mi nna li babe langu li hansamu balaa afu li genius kazi kwako unayechagua 😹😹Harusi tunayo hatunaaaaaa😹😹we chagua umri utakuta umekuacha
Hajanipenda mimi, kakupenda wewe sasa si umkubalie 😹😹🤣🤣🤣🤣ingekuwa ww ungekubali?