Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_0722.jpeg
 
Changamoto tumegeuza lile tendo kuwa starehe, wenzetu wanyama wanafanya kwaajili ya kuzaliana pekee

Ndiyo maana vijana wa hovyo wako busy kubuni popokanyea dunia 🙌

Na sisi wa mwaka 47 ndiyo unafia saiti yaani 🤪
😁😁haya mambo ni magumu😹
 
Awe makini tu, siku hizi mabinti nao ni hodari kutega camera ili kuuza connection

Kwa umri wake, alipaswa atulie kama tulivyo sisi Wazee wenzake
Hata hapo kwenye hio video alidhani ni video call private, kumbe yupo tiktok live...

Unasikia mwishoni hapo anasema kama hakuna watu wengine wanasikia...🤣🤣
 
Back
Top Bottom