Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_20260827_102633.jpg
 
Changamoto tumegeuza lile tendo kuwa starehe, wenzetu wanyama wanafanya kwaajili ya kuzaliana pekee

Ndiyo maana vijana wa hovyo wako busy kubuni popokanyea dunia 🙌

Na sisi wa mwaka 47 ndiyo unafia saiti yaani 🤪
Yes sisi ambao hatuna nchuzi ndo starehe cheap zaidi tunaweza kuaccess sasa kama mimi kikitoka na migebuka wangu wakubwa wawili nikipita ilagala napata utelez swaaaf kabisaa
 
Yes sisi ambao hatuna nchuzi ndo starehe cheap zaidi tunaweza kuaccess sasa kama mimi kikitoka na migebuka wangu wakubwa wawili nikipita ilagala napata utelez swaaaf kabisaa
Tumelipa umuhimu kuliko mambo mengine ya maana, ndiyo maana Kila siku mahakama zipo busy zinatoa talaka kwa wanandoa 🙌

Vijana mmetufanya hadi sisi Wazee wa mwaka 47 tufikirie kuuana kwa sumu/risasi huku tukiutelekeza msemo wa "Kitanda hakizai haramu" 🤪
 
Back
Top Bottom