Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Acha njaa aunt yangu..!! 😹😹
Wewe nipitishe tuwe tunakula miamala kutoka kwa ankali wako..!
Mbona kama unakua hujazaliwa dar 😹😹

😹😹😹 Na nitamuharibu kweli mpaka amsahau aunt yako wa kitasha..!!

😹😹😹 Bora auvunje kama mpwa mwenyewe wewe mnoko unambania kula totoz..!!
Basi ngoja nifanye mambo nijipatie auntie wa kibongo, yule ananichosha na kizungu 😹
 
wanazamaje sa wkt kuna kufuli 😁 nimefulia tu apa ukintumia buku mi roho yangu kwatu kabisa tajiri 🔥
Au sio 😹
Wale wanaoamkia shikamoo kina nani?
Sema ile siku nilicheka mpaka machozi, hivi ungeweka na convo zenu si ndo ningepasuka mbavu..!!

Weka basi convo tajiri tuone 😜
 
IMG_7795.jpeg
 
Hiyo forum nasikia Penseli alikua anaedit nyuzi na kutukana member kwenye nyuzi zao 😹😹😹

Hivi mlianzaje kumpa umods mtu kama Penseli? 😹😹
Sasa hizi kama imekufa nilikuwa active kipindi ilipoanzishwa nikapotea kwa miaka .

Mimi sikuwa kiongozi nilikuwa member tu , Kipenseli alitukanana mpaka na mods wenzake wakatandikana ban , ilikuwa nyumba ya fujo humo 😂
 
😹😹😹 Hii pochi au kimfuko?
Unakua unabebea lip gloss na wanja au?
Malle unanichekesha sana mdogo wangu..!!

Utoto raha sana..!!
Hivi vitu nisipofanya saizi nitafanya uzeeni😹😹afu huu ndo muda wake sasa au unaonaje😹😹😹
 
Back
Top Bottom