Digitaldreamer
JF-Expert Member
- Jun 11, 2022
- 844
- 1,512
Ni status safi Sana haina makandokando, tumeachia wengine hizo KAZI, ila hela walete tuhTafuta kazi u jobless sio sifa 😊
Ni status safi Sana haina makandokando, tumeachia wengine hizo KAZI, ila hela walete tuhTafuta kazi u jobless sio sifa 😊
Hutaki kupewa na funguo? 😹Umetumwa 😅😅
La kwanza? 😹Ukiona wewe unasema hivyo ujue kuna mambo haya✌️😅
Kumbe mie malaika sipendi helahaha hivi umefikaje huku!
Zaku clear vipengele vyako usiwaze
hahaha!Namleta umpe na funguo awe analipush mwenyewe na ule mlio wa teza sasa wohiii 😍
Muende Burundi mnaongeza joto nchini..!! 😹Daaah! Ila wewe
Hili joto ni Kali kama tuko jehanamu, hamna hata haja ya kuoga ni kuchezea majiMuende Burundi mnaongeza joto nchini..!! 😹
Sikuhizi mnamsemo wenuKumbe mie malaika sipendi hela
Weee uliona wapi😅😅😅
Ngoja tuwapigie TMA 😅Hili joto ni Kali kama tuko jehanamu, hamna hata haja ya kuoga ni kuchezea maji
Matapeli yale, hata wenyewe watakuwa wanashangaa hili jua vipi tena, yaani linagonga kisawasawaNgoja tuwapigie TMA 😅
Issue ni deep😅😅La kwanza? 😹
Bismillah MashaAllah 😊Ni status safi Sana haina makandokando, tumeachia wengine hizo KAZI, ila hela walete tuh
Sio hivyo bana 😊Sikuhizi mnamsemo wenu
Namba hatukunyimi ila utakimbia mwenyewe.
Ila kwako naanzaje kutoka ndukiSio hivyo bana 😊
Hiko niliomba wakiweka ki emojiKiswaswadu chako kina hii emoji 😹😹
Aloooo I wonder
Kichuguu lazima ukimiliki iko 😹hahaha!
Mi ndomana nakukubali sana mchuchu!! Hutaki niteseke kabisa kwa vinavowezekana
Issue ni very serious 😹Issue ni deep😅😅
Dollar zimekata tajiri yangu saiv nmekua kapuku wa kutupwa 😁MFALME WETU tajirii njoo uweke zile dollar