ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 21,661
- 50,173
Uongo mbona nilikua narusha makombora sehemu umepita kama unaaga maitiHuko huko ulipo chino naye yupo
Uongo mbona nilikua narusha makombora sehemu umepita kama unaaga maitiHuko huko ulipo chino naye yupo
! Mchana hua na kua ress sana! Mida kama hii ndio hua napata utulivu mzuri wa kua na simu,Uongo mbona nilikua narusha makombora sehemu umepita kama unaaga maiti
Kumbe basi sawa hakuna tabu! Mchana hua na kua ress sana! Mida kama hii ndio hua napata utulivu mzuri wa kua na simu,
Nilikuona kweli na ndiomana nikakuvutia huku selfika ili uje unitegee sikio kidogo nikupatie ushauri bahati mbaya nikajikuta narudi hewani jioni saa mmoja.
Tupo pamoja chino hua sio msaliti Lamomy anajua
Kumbe unajua kuchamba? Haha nilihisi lamo kakuandikiaKumbe basi sawa hakuna tabu
Shem mimi mpole mnoo🤗Kumbe unajua kuchamba? Haha nilihisi lamo kakuandikia
Sio Kila kitu Cha kumuachia Allah baadhi ya vitu unavyoona una vimudu unamalizana navyo mwenyewe.Shem mimi mpole mnoo🤗
Lakini siruhusu mtu yeyote anipande kicwani kabisa
Yule mtu nilimpuuza kitambo sanaSio Kila kitu Cha kumuachia Allah baadhi ya vitu unavyoona una vimudu unamalizana navyo mwenyewe.
All in all ni lizuri!!
Hapo kwenye all in all nadhani ndipo shida ilipoanzia.Yule mtu nilimpuuza kitambo sana
Nadhani akachukulia namuogopa sana
Asijue mimi nio mtu wa ugomvi licha ya kua naumudu vizuri sana
Leo imebidi nimtolee uvivu kwa sababu ni kama anataka kuvuka mipaka sana
Sina time nae tena nimeshamalizana nae inshort nimemaliza tunaweza ku-interact jukwani pia akitaka mi nishamaliza
Hapo kwenye all in all hapo 🤗
Mara lipo Mara halipo we uliona wapi 😅😅💔Hapo kwenye all in all nadhani ndipo shida ilipoanzia.
Mara lipo mara halipo! Mimi nasema lipo na sio lipo tu ni laini hasa Yani teketeke
Nimefanyaje jomooni 😹Yaan weye😁
Embu Fanya ivo kwanza basi!Mara lipo Mara halipo we uliona wapi 😅😅💔
Hizi ndo nakeeeed tunazozitaka sasa 😹😹😹
We nae mtesi tu kwendraaaaaEmbu Fanya ivo kwanza basi!
Vipi Malle na huyu vipi? 😹🤣🤣🤣🤣🤣🤣hii comment ina kitu ndani yake
Cazee wa coca huko Kigoma El nino ishaanza naona ukungu wa kutosha..!! 😥
haha binadamu wagumu sana kuwaelewa tuwachape ni mizigo mipyaWe nae mtesi tu kwendraaaaa
Aliweke watesi wake wachanganyikiwe 😹😹nione likichuguuu
Ni mwendo wa kuweweseka tu