Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 42,930
- 103,263
Yani chino ukikosa kichuguu hiko nitakuona fala sana na nitakufukuza home..!! 😹😹Nalinda mgongo wangu!!
Yani chino ukikosa kichuguu hiko nitakuona fala sana na nitakufukuza home..!! 😹😹Nalinda mgongo wangu!!
Hahaha naona unavonijazia nyama mchuchu Leo umejua kuniwekea gurdNa wewe 😹
Mtu mpaka anamiliki tezaa ndo akose pesa?
Acha dharau na mume wetu..!
Jibu swali una helaNalinda mgongo wangu!!
MleteYa kwake, kama unataka kadi we nenda home akakuonyeshe..!!
Usiniletee za red black na chatungi 😹😹Wewe si upo china hevean gelo sio sisi tupo huku mswekeni
Unaniona je udugu 😅😅aiseeeYani chino ukikosa kichuguu hiko nitakuona fala sana na nitakufukuza home..!! 😹😹
Namleta umpe na funguo awe analipush mwenyewe na ule mlio wa teza sasa wohiii 😍Mlete
TCRA wameona mmezidi kushinda online 😅😅Hivi hii JF imekuwaje Leo, bila VPN haifunguki kabsa
Si mlishaambiwa muhame nchi 😹Hivi hii JF imekuwaje Leo, bila VPN haifunguki kabsa
haha hivi umefikaje huku!Jibu swali una hela
Kama hujui huwezi kuingia jukwaani bila VPN lazima wewe ni dayasiporaUsiniletee za red black na chatungi 😹😹
Mi nipo mtaa wa Congo hapa nimejaa tele napigwa na jua..!!
Chino fanya uninunulie sunscreen babe jua linanichoma mwenzio..!! 😹
Majobless tuende wapi SASA, tunasubiria hela za kutegaTCRA wameona mmezidi kushinda online 😅😅
Nakuona malkia unayestahili soft life kutoka kwa chino wana man..!! 😹Unaniona je udugu 😅😅aiseee
Umetumwa 😅😅Ya kwake, kama unataka kadi we nenda home akakuonyeshe..!!
Ukiona wewe unasema hivyo ujue kuna mambo haya✌️😅Nakuona malkia unayestahili soft life kutoka kwa chino wana man..!! 😹
Daaah! Ila weweSi mlishaambiwa muhame nchi 😹
Nyie itakua mnatumia simu kubwa, tumieni viswaswadu km vyetu uperuzi bila wasi..!!Kama hujui kama huwezi kuingia jukwaani bila VPN lazima wewe ni dayasipora
Tafuta kazi u jobless sio sifa 😊Majobless tuende wapi SASA, tunasubiria hela za kutega
Kiswaswadu chako kina hii emoji 😹😹Nyie itakua mnatumia simu kubwa, tumieni viswaswadu km vyetu uperuzi bila wasi..!!