Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
70s
70s
Haya Karma, angalia picha na ID zinavyoendana [emoji1787]. Mkuu kweli ni shabiki wa Barca.
Hahahahahaha
Hiyo tshet ukuje nayo tafadhali
You made him lol,, kwani sisi Messi ndiyo hatukumtengeneza?? Kumbe hata wewe unajua kuwa ni mtu mungu enh!! Messi the god of football aka messiah of football!! [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah...unajua tunavamia uzi wa watu huu
Unataka wa muda wote au hawa ambao wapo active?
Msalimie sana kaka etu
Hiyo tshet ukuje nayo tafadhali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha uchoyo jamaniHaikutoshi mie bongee
Sent using my 6x6 bed.
Haha sawa
Wengi tu tuna account huko, sababu JF ilipigwaga bunn. Wengine bila JF maisha hayaendi.[emoji3][emoji3]
Leo nimefuta ki- international
Msalimie sana kaka etu
Lol kumbe na wewe ni wa Barca mkuu? Lol umeisha. Akiondoka mtu mfupi, tutawafanya tunachowafanya kwenye Basketball.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaniona mimi mtoto eeehhh... ko ukaweka picha ya mzee kabisaa
Leo nimefuta ki- international