Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 42,301
- 101,827
Sasa elfu 5 ya nini wakati ushasema ana pesa? Mate tamaa hizo 😹😹Mate nitumie afu 5 nimalize kazi 🤣
Sio tu lizuri afu lina hela, mi uchawa tu ananipaga Dollar Ila nayeee mwingiiiiiiiiiii! Mhh mhhh kaka zangu wa singida viwembe nyieeeeeee, humu zingepigwa basi tu ☺️
The Monk
(ntafuta hii comment akishaisoma)
Wewe niweke suala la ukiwembe wake niachie mimi..!! 😹😹
Li monk lizuriii bhana awww 🥰🥰
Lilivyoselfika siku ile moyo ukalia paahh 😥
🫡
🫡
🫡
Igweeeeeeeeeeeeeeeeee