Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hamna similiki hiyo biashara na sifanyi biashara Jf , namiliki hivyo viatu vipya , hapo nikawa na express feeling jinsi nitavyovaa na kanzu .

Maana napenda Raba na Kanzu nilivyo vaa pichani hapo chini 👇 View attachment 3691447
Sheikh majini 😹😹

Wewe ukipita kkoo ukisema takbiiriii wote tunakimbia maduka 😹😹
 
TBT 2017 hostel, Chivundu wanawake sio wote wanakuwa wazuri in their 20’s mi nilikuwa kimbau mbau mwiko wa pilau 😩

View attachment 3691442
Chuma hiki hapa sasa cha mjerumani..!! 🔥🔥

Kiuno nyigu, afu wewe ilitakiwa ungetuwakilisha Miss World tuchukue taji..!!

Mtoto Kama twiga wa Mikumi, anaiona mpaka kitonga..!! 😍

Em niangalizie kesho itakuwaje?
 
binti kiziwi jollof ya mawese unatumia
Screenshot_20261015-230751.png
 
Back
Top Bottom