πΉπΉ Halafu kapotea sijui kahama kitengo?Aaah wapii, yule hadi anikamate aning'oe kuchaaa,
ππππ
Kupigwa hakupingiki πΉππππ ila hiyo inafaa kwa mchepuko, maana atakua anakuamini, kumbe ndio target ya kumpiga. Woiiih
Koh koh koh π€Sawa babu hata hivyo ni vizuri usije kufia kwenye vifua vya wajukuu
Gudubaiiiii πKoh koh koh π€
Na hivi nimesikia wajukuu wenyewe ni hodari, wangeweza kuniua katikati ya mwendo π
πΉπΉmchukue ukimchoka nipe hapaHuyo nimekupaga πΉπΉ
π€£π€£π€£kila mtu akipita anapewa mistari na lamomy dahπΉπΉπΉ Em pita na wewe nikuwekee mistari..!!
Aweke photo la pamojaπΉπΉnijihakikishieThe ghost writer hey Beibee, njoo hapa unioneshe kile amekupa baba.
ππππ
Sasa ndiyo usiache kunitumia Kiko hata kwa basi linalokuja kijijini kwetu π€π π ππΌ
Koh koh koh π€Gudubaiiiii π
π€£π€£π€£π€£hii labda ya kutembelea chumbani aiseeeeElfu 20 tu unajipatia khanga yako safii π₯π₯
HuyoπMawardatDellapina fanya namna basi,
Yuko Nje, kaenda kuchukua mafunzo ya udukuzi, awakamate vizuri kina Maria na Hilda. ππππΉπΉ Halafu kapotea sijui kahama kitengo?
Chat kwa picha basi
πππKupigwa hakupingiki πΉ
Wee ni Tomasso? Huamini?Aweke photo la pamojaπΉπΉnijihakikishie
Usiogope bhana , kama ingekuwa ni kukamatwa na kutekwa mimi ni mmojawapo halafu ni katibu wa Chama kikuu kata na bado nikienda kwa maofisi ya Umma wakiniletea Ubabaifu nawape vidonge vyao.Au sio mahi π
Serikali ya samia inamkamata hata kada wa chini kabisa wa chadema na kumpa kesi ya uhaini
Anyway wasiwasi ndio akili mama
Nakumbuka Babu kuna mwaka tulikutana pale Rombo Green View zaido ya Members 100. Na Jamiiforums kipindi kile ilikuwa na mijadala ya moto.Unajua baada ya Uchaguzi wa mwaka 2015, hali ya Siasa Nchini ndiyo ilianza kubadirika na kutufikisha hapa tulipo
Miaka ya nyuma ya 2015 kurudi nyuma, wadau walikuwa wanatoa maoni na kushindana kwa hoja humu bila kuwa na wasiwasi
Ndiyo maana hata zile gathering parties zilikuwa zinafanywa almost Kila mwaka zamani
Saivi hata kuitisha party moja ukiwatolea viingilio members wote, hakuna atakayejaribu kuhudhuria
Babu yenu naogopa hata kukutana na Wajukuu π
Nimechagua kuogopaUsiogope bhana , kama ingekuwa ni kukamatwa na kutekwa mimi ni mmojawapo halafu ni katibu wa Chama kikuu kata na bado nikienda kwa maofisi ya Umma wakiniletea Ubabaifu nawape vidonge vyao.
Unaogopa nini Mdogo wetu hebu tubless basi iwe kama lunch πππ
Sikuhizi mijadala iliyopo ni namna gani vijana wapinge ndoa.Nakumbuka Babu kuna mwaka tulikutana pale Rombo Green View zaido ya Members 100. Na Jamiiforums kipindi kile ilikuwa na mijadala ya moto.