ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 20,484
- 47,967
Share then nitaupitia mkuu
Unajua baada ya Uchaguzi wa mwaka 2015, hali ya Siasa Nchini ndiyo ilianza kubadirika na kutufikisha hapa tulipoNi sahihi nadhani hili jukwaa wenye nia ovu ni wengi sana..
Kuna ID yangu humu ilipotea miaka ya juma, ila kuna nakala niliwai toa comment ni issue za siasa hizi hizi.
Kuna jamaa ID yake mpaka leo naikumbuka ila ni dormant naona.
Alinijia PM na kutoa vitisho Vikali sana sema sikujali sana mana access ya kunipata ilikua haipo.
Tangu siku hyo nilifunga PM mpaka leo.
Nijianike haya makunyanzi humu ππ€ nitatisha watu, hapana aiseeh!Mahi em selfikq na wewe, nikuoneee.
πππ
πΉπΉπΉ Chino huyu huyu??Tayari uko kwa Chino boy! πππ
Kumbe hata kiko hutaki lol πUnajua baada ya Uchaguzi wa mwaka 2015, hali ya Siasa Nchini ndiyo ilianza kubadirika na kutufikisha hapa tulipo
Miaka ya nyuma ya 2015 kurudi nyuma, wadau walikuwa wanatoa maoni na kushindana kwa hoja humu bila kuwa na wasiwasi
Ndiyo maana hata zile gathering parties zilikuwa zinafanywa almost Kila mwaka zamani
Saivi hata kuitisha party moja ukiwatolea viingilio members wote, hakuna atakayejaribu kuhudhuria
Babu yenu naogopa hata kukutana na Wajukuu π
Hutaki hiyo veepee na kijana anakufaa huyo!! πΉππππ mie sitakiiii.
Babu atakua amekusikia loud and clear π°πΆπ΅π π msisitizo
Sitaki kurithi koti
Nisirithishwe pesa mi koti la nini
Kwani akiandika nawe ukanyamaza pasipo kumjibu utapungukiwa na nini?Mie anavyokuja, ndivyo navyo mpokea, aibu mtaona nyie, aloooh.
ππππ
Hakuna ugumu, wanakudaka, unless uwe hujawahi kuwasiliana na mtu nje ya hapa, au laah watu wako wasiwe wa kushuka bei, nje ya hao system, kuna waja tu wanaotaka kuwafahamu watu kiundani huwa wanatumia wenzao kuwachota kirahisi.Ni ngumu mtu kukufikia kupitia platform kama hii ya JF
Unampoteza Babu wa watu
Kwishaaaaa!! πππBaaasiiiii
We nae tutakufatilia CocaπHakuna ugumu, wanakudaka, unless uwe hujawahi kuwasiliana na mtu nje ya hapa, au laah watu wako wasiwe wa kushuka bei, nje ya hao system, kuna waja tu wanaotaka kuwafahamu watu kiundani huwa wanatumia wenzao kuwachota kirahisi.
Sema wanaotafutwa ni wale wanaotoa za Jikoni, km Brittanika, etc.
πΉπΉπΉ Mbona magogoni..!!πππ wewe tena? Si unae kutoka magogoni? G.
πππ
Sina hamu na kiko tenaKumbe hata kiko hutaki lol π
Hadi mimi babu πSina hamu na kiko tena
Hawa vijana wenyewe hawana adabu hata kwa Wazee wa umri wangu π
Uduguu hii khanga naitakaa, kwa bei yoyote, nataka niivae nikiwa niko na Ba tamu usiku kitandani.Mje mniungishe khanga za kuwapelekea mabebe zenu..!!
Koh koh kohUnataka kumfia nani lakini π
Unaweza michezo
Mie ndio wa kwanza kabisaa. πππHata wewe?
Hahahaha.Unajua baada ya Uchaguzi wa mwaka 2015, hali ya Siasa Nchini ndiyo ilianza kubadirika na kutufikisha hapa tulipo
Miaka ya nyuma ya 2015 kurudi nyuma, wadau walikuwa wanatoa maoni na kushindana kwa hoja humu bila kuwa na wasiwasi
Ndiyo maana hata zile gathering parties zilikuwa zinafanywa almost Kila mwaka zamani
Saivi hata kuitisha party moja ukiwatolea viingilio members wote, hakuna atakayejaribu kuhudhuria
Babu yenu naogopa hata kukutana na Wajukuu π
Ndiyo, unajua mtego wa asali wewe?Hadi mimi babu π
Binti wa zamani