100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,668
- 38,282
Astaghfirullah..Eeeh ndiyooo, mie habari za kubabaika wakati wa kumtambulisha ba mpenzi nataka?
Mambo ya "usimuone hivi ana masters na pesa kwake sio shida zake" na hujaulizwa ana elimu gani au uchumi wake ukoje?
😂😂😂😂😂
Hivi we msela toka uzaliwe hukuwahi kuchakata mbususu?