Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 11,234
- 20,568
Dah basi kumbeee, ngoja sie wazee tuendelee na maugoro yetu jamani, humu Kwa vijana TUHapa zinataka za mvuto tu, ukiweka zingine, inasema try again later, au please wait at the moment
😂😂😂😂
Dah basi kumbeee, ngoja sie wazee tuendelee na maugoro yetu jamani, humu Kwa vijana TUHapa zinataka za mvuto tu, ukiweka zingine, inasema try again later, au please wait at the moment
😂😂😂😂
Wee subirii uonee, nakuambia kinawaka sasa hivi, 😂😂😂😂Kwanini tena😅
Unapenda vitu vizuri coca🤣💯The Ghost Writter
Ila wewe jamaniWee subirii uonee, nakuambia kinawaka sasa hivi, 😂😂😂😂
Hapana Dear, wee weka, labda mtanfao au server za JF zinasumbua.Dah basi kumbeee, ngoja sie wazee tuendelee na maugoro yetu jamani, humu Kwa vijana TU
😅😅dah nakemea hilo pepo fayaaaa🔥🔥Wee subirii uonee, nakuambia kinawaka sasa hivi, 😂😂😂😂
Niliona view once😪ukaifuta dahKumbe umewahi kuniona eeeh 😅😅
Labda awe ametulia, akiwa na mihemko yake, anakiwasha sio mda.Ila wewe jamani
😂😂😂😂😅😅dah nakemea hilo pepo fayaaaa🔥🔥
Aloooo ndio maa mwanya upo wa hapa na pale kwa ajili ya kutabasamia 😅😅😅Niliona view once😪ukaifuta dah
Hili jina la avatar yako, lina maana gani? Sorry lakini.
Nashindwa kuaelewa😅😂😂😂😂
Eeeh ndiyooo, mie habari za kubabaika wakati wa kumtambulisha ba mpenzi nataka?Unapenda vitu vizuri coca🤣💯
Coca una dharau 😅😅😅🙌🏼Eeeh ndiyooo, mie habari za kubabaika wakati wa kumtambulisha ba mpenzi nataka?
Mambo ya "usimuone hivi ana masters na pesa kwake sio shida zake" na hujaulizwa ana elimu gani au uchumi wake ukoje?
😂😂😂😂😂
Ila hua unataka wenzio wajianike 😅
Anyway Chivundu upo smart huna baya 🔥
Hata hivyo sio kawaida aiseee umetishaMbona mimi sijajificha sana mzuzu kabisa unaonekana picha zote. 😊
Basi sawa!Chivundu kwa lugha ya Lingala ni JINAMIZI. Vile ukilala usiku, ukajikuta huwezi kuinuka, kupumua na kuhangaika kwa dakika kadhaa.
😂😂😂Nashindwa kuaelewa😅
🤣🤣🤣🤣ila coca wwEeeh ndiyooo, mie habari za kubabaika wakati wa kumtambulisha ba mpenzi nataka?
Mambo ya "usimuone hivi ana masters na pesa kwake sio shida zake" na hujaulizwa ana elimu gani au uchumi wake ukoje?
😂😂😂😂😂
Wadada weye kwanya ni pisi aisee❤️🌸Aloooo ndio maa mwanya upo wa hapa na pale kwa ajili ya kutabasamia 😅😅😅