cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 121,907
- 200,600
Usijari mie napita sio mda hapa.Coca mjanja mjanja pita basi ❤️🔥
Usijari mie napita sio mda hapa.Coca mjanja mjanja pita basi ❤️🔥
Zinafika wap? Lakini mbona Huwa hazichoshi?Kuachia tu kila mara, nachoka nina nywele nyingi sana naona zinanielemea sasa
Vitu vizuri ni vya Lamomy tu?😹
Sipati picha nduki mlizotoa hapo.Aisee uoga kwangu nilishafeli, haki vile nilitakaga kutupa vocal sema tulikuwa sehemu ghafla difenda hilo kila mtu akala hamsini zake na wengine waliishia kituoni
Mkuu hawa warembo wahumu mpaka ulie sana ndipo wakubless inasikitisha sana 😁.Message zimekua nyingi theme ya uzi ni picha jameni
Chap banaUsijari mie napita sio mda hapa.
Huyo hatumiHuyu cocastic ndo anatuzungusha🤣
😂😂😂Chap bana
Ndiyo nafikiria kuanza upya au kukata kidogoNyoa basi anza upya tena. Au?
Mimi nmeshindwa ntawaona kwenye xrayMkuu hawa warembo wahumu mpaka ulie sana ndipo wakubless inasikitisha sana 😁.
Mgongoni nina nywele nyingi sana halafu zinakuwa chapZinafika wap? Lakini mbona Huwa hazichoshi?
We pita afu usiifute mpaka arudiHapana, nilisha muhaidi kupita ukiwepo.
Yap basi we ndo mie ,zangu miezi 3 mbele zitakuwa kiunoni, manene machache, hayanichoshi ,tembo haelemewi na mkonga wakeMgongoni nina nywele nyingi sana halafu zinakuwa chap
Bushmamy emu tuone hizo nywele zako unazosemea 😎Yap basi we ndo mie ,zangu miezi 3 mbele zitakuwa kiunoni, manene machache, hayanichoshi ,tembo haelemewi na mkonga wake
Kwani zinakua ngapi??Yap basi we ndo mie ,zangu miezi 3 mbele zitakuwa kiunoni, manene machache, hayanichoshi ,tembo haelemewi na mkonga wake