Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyo bwana Penseli ana id Chiwawa hamfikii..!!

Ndo anayesambaza pic na price tag huko pm 😹😹

Mfano anachukua pic ya Lamomy anatuma na maelezo ni winga kkoo anauza vijora, JF bwanaake ……… Hapo anakuwekea mtu mnayetaniana. Kisha anasema ukiwa na kiasi kadhaa umempata..!!

Kama uliwahi kuweka contact zako basi anarahisisha mambo anakujazia na namba zako za simu kwenye profile yako..!! 😹😹😹
Anapata faida gani kwa kufanya hivyo?
 
Anapata faida gani kwa kufanya hivyo?
Atuharibie tu 😹

Siku hizi kapoa mbona, alikua hakauki kwenye huu uzi kutafuta ugomvi..!!

Akikutongoza ukimkataa anakuchamba na kukutukana..!!

Mi niliona chat zake na member mmoja wakipeana michongo ya kunila kimasihara nilichekaaa mbavu ziliniuma..!! 😹😹

Huyo jamaa anamuuliza Penseli, Yule mtoto vipi? Mi nataka nimle nimemuelewa..!!
Penseli yupo kumjaza, eti anaeleweka sema ana bwanaake Jack Palladino 😹😹😹
Ngoja nikuwekee voice naona nachoka kutype
 
Heaven baby 😅😅😅 we noma
Hivi umesomea uandishi?
 
Back
Top Bottom