Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,008
- 10,421
Upite kama nipoPolee nikipita tena nitakuita

Upite kama nipoPolee nikipita tena nitakuita

Nimesikitika sana asee kukosa uhondo.
😹we ndo huo uhondo tulikuwa tunasubiri 🥳fanya jamboNimesikitika sana asee kukosa uhondo.
Shawishiaaneni tu hapa na mimi nataka kuweka😹Nakuja dear inbox unioneshe hizo dreads, mnanishawishi ujue, aloooh.
Kuachia tu kila mara, nachoka nina nywele nyingi sana naona zinanielemea sasaStyle gani? Si unaziachia tu zijimwage km rasta au?
Mkuu umenizunguka mbona hujaniita nimuone Malaika Chica Gee
😁😁nipo usihofuPita na wewe mbunifu
Acha uoga wako na wewe, 😂😂😂Doooh 😅 level yake ni hatari anapambana na kina pumpkins 🎃 head 🤣🤣🤣
Ndo upite mida mibovu hii😁😁nipo usihofu
Kesho tenaBwana nilikuwa kwenye mapub huko nacheki boli, umetuma nipo njiani kurudi home, mida ya wanga hii. Hebu nitumie basi Chica.
NitakuitaHaya sawa.
Weka basii, 😂😂😂Shawishiaaneni tu hapa na mimi nataka kuweka😹
Mallerina anarangi zako kabisa mkuu. 🔥Mkuu, sikuzunguki. Ningeona ningetoa maksi si unajua mi mzee wa maksi. 😊
Coca mjanja mjanja pita basi ❤️🔥Weka basii, 😂😂😂
UsijaliUpite kama nipo![]()
Aisee uoga kwangu nilishafeli, haki vile nilitakaga kutupa vocal sema tulikuwa sehemu ghafla difenda hilo kila mtu akala hamsini zake na wengine waliishia kituoniAcha uoga wako na wewe, 😂😂😂
Pale ni kazini, nawewe ni kwenye malove Dave. Mbona tofauti sana, unless awe terms n conditions, nawee usiwe navyo hapo sawa.
Niliwaita wote mbonaTuitr wote sasa na bwana Steve Rogers, atahisi mimi namzunguka. 😊