We ongelea tu hapa hapa kwani shida iko wapi,😹mkuuu
Shida ipo mkuu. 😊
We ongelea tu hapa hapa kwani shida iko wapi,😹mkuuu
Hebu katizaHakika 😃😃
Haswaaa.Hakika 😃😃
Nifutie hii comment😹basi photo ipoteeeMashalah
Kesho nayo siku mtani 😍Haswaaa.
Swadaktaaaa, wee ni Uto dear? 😂😂Kesho nayo siku mtani 😍
Tayari nishafutaa mahi,Futa hii comment😹😹imebaki na photo
Bora umenisaidia 😹😹We ongelea tu hapa hapa kwani shida iko wapi,😹mkuuu
Upo faster kama umeme🔥🥳Tayari nishafutaa mahi,
Si ndiyo 😹😹😹😹 niachwe plzSwadaktaaaa, wee ni Uto dear? 😂😂
😂😂😂 sina mbambamba.Upo faster kama umeme🔥🥳
Masuala ya fedha hayana mwisho, the more you grow, the more your financial needs evolve..😄
Kama unataka kutupia mistari anza me ntakupa support😍😹Shida ipo mkuu. 😊
Kuelekea wapi? 😀Hebu katiza
Aaah jamanii unakuaje uto sasa na wewe?Si ndiyo 😹😹😹😹 niachwe plz
TumuoneKuelekea wapi? 😀
Shauri zakoKama unataka kutupia mistari anza me ntakupa support😍😹
Sasa Imagine nina hali gani? Huku Yanga huku Man U,😩😭 Usiku mwema mtani 😀Aaah jamanii unakuaje uto sasa na wewe?
Ila mie nikiwa kwenye mpira chizi, jana nimetandika mkeka, man u kanikosesha hela wapumbavu wale, dadeki zao.
😂😂😂😂
Nani?Tumuone