Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,406
- 54,842
Ras ChicaNani?
Ras ChicaNani?
Chivundu em weka picha hapa hata Ugoko, khaaaah
😂😂😂😂
Amelala 😂😂Ras Chica
Lazima tumsuppport au unasemajeShauri zako
Kama unataka kutupia mistari anza me ntakupa support😍😹
Aaaah sitakiii, 😂😂😂 nakuonea huruma,Sasa Imagine nina hali gani Huku Yanga huku Man U 😩😭 Usiku mwems mtani 😀😀
Akiamka tuko nayeAmelala 😂😂
Ni kofia au nini?
Mule muleLazima tumsuppport au unasemaje
Haipingwiiii.Tukubaliane, natupia na wewe unatupia. 😊
😹😹 nilikuwa natania weeee ninyoeee ili iwajeee??? Nipo nipo sana
Aaaah sitakiii, 😂😂😂 nakuonea huruma,
Mie kule Man city, leo tumekanyagwa na PSG. Afu Madrid kafanya comeback ya kibabe, aloooh.
😹😹 acha tu nakwambia, hapo kwa Madrid tupo pamojaAaaah sitakiii, 😂😂😂 nakuonea huruma,
Mie kule Man city, leo tumekanyagwa na PSG. Afu Madrid kafanya comeback ya kibabe, aloooh.
Hivi upo serious??
Haya mdo maneno 🥳Kwa hisani ya chama langu Real Madrid, naomba niwape picha hata moja leo.
Haipingwiiii.
Za watu wenye mwili mwili huna?