Mwili mpana au wastan❤️🌸Za watu wenye mwili mwili huna?
🔥🔥🔥Kwa hisani ya chama langu Real Madrid, naomba niwape picha hata moja leo.
Fungua kufuli hilo😹Ndiyo kwanza nalala zangu now
Nashindwa kuelewa kama nina mwili mpana au wastani dah 😅😅🙌🏼Mwili mpana au wastan❤️🌸
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥
JF kuna ma hansamu jamanii, ooooh cheki vitu hiviii?? Alooooooh!!!
Noma, Noma, Noma tena..
Naomba kukuona alafu nikwambie🥳🔥Nashindwa kuelewa kama nina mwili mpana au wastani dah 😅😅🙌🏼
Mie sio Madrid, Mie kule ni Barca, jana kinda wetu Yamal kafanya kufuru, ni maajabu.😹😹 acha tu nakwambia, hapo kwa Madrid tupo pamoja
Nasema uongo? 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hapo nitadanganya 😹😹 liache kwanzaFungua kufuli hilo😹
Baaaasiiiii ni kushoto kulia in Kondeboy VoiceMie sio Madrid, Mie kule ni Barca, jana kinda wetu Yamal kafanya kufuru, ni maajabu.
Wee weka mbali na watoto. 🔥🔥🔥
😹😹wakaka wazuri wenye pua nzuri kama.mshumaa wa pasaka😹😹🔥🔥🔥🔥ila lamomy akikujaza upepo dah💔🤣Nasema uongo? 😂😂😂
Weka weka, mie mbona ni kugusa tu, chaapu.Haya weka na mimi naweka nyingine. 😊
😂😂😂 noumaa sanaaBaaaasiiiii ni kushoto kulia in Kondeboy Voice
🔥🔥🔥
JF kuna ma hansamu jamanii, ooooh cheki vitu hiviii?? Alooooooh!!!
Noma, Noma, Noma tena..
Nitakutafuta ila hizo unazopost hata kwenye mapaja nadhani haipandiNaomba kukuona alafu nikwambie🥳🔥
😂😂😂😂 uwe na heshima bas hata kidogo, khaaah.😹😹wakaka wazuri wenye pua nzuri kama.mshumaa wa pasaka😹😹🔥🔥🔥🔥ila lamomy akikujaza upepo dah💔🤣
KofiaNi kofia au nini?