Steve Rogers
JF-Expert Member
- Jun 20, 2026
- 731
- 1,617
Hahaha mkuu mimi ni father.Hela utapata, we bado yanki, ukiweka bidii yenye akili unapata pesa.
My youth has faded, and time has taken its toll.
Hahaha mkuu mimi ni father.Hela utapata, we bado yanki, ukiweka bidii yenye akili unapata pesa.
Muambie na yeye aweke yake,Polee sana kesho nayo siku
Idadi utakayo weweKwani zinakua ngapi??
Inbox nakujaZako chache nione 😌
Bhana nikuone kwanza 😅😂😂😂 uoga wako tu.
MpoeeeehTupoo hapaa, hatutokii 😂😂😂
NimemuombaMuambie na yeye aweke yake,
Kuna kufuliInbox nakuja
Aisee mpaka nimekunywa kahawa sitaki nipitwe 🤣Mpoeeeeh
Kwanini mnaekaga makufuli?Kuna kufuli
Polee sana kesho nayo siku
Kiufupi tunaoteana sanaNa mie sometimes huwa nakuotea km hivi, 😂😂😂
Sitaki usumbufu tuKwanini mnaekaga makufuli?
Kunywa taratibuAisee mpaka nimekunywa kahawa sitaki nipitwe 🤣
Sidhani kama ni lazima kujibu pm,unaziangalia then unaziacha kama zilivoSitaki usumbufu tu
😂😂😂Kiufupi tunaoteana sana
Usijali huwa napita sana tuMashaAllah ❤️😍nangoja unibless yako siku mojaaa
Nimepitwaa, em weka tena kwani bhana.Mpoeeeeh